APPLICATION FORM
BEI YA FOMU 10,000/=

P.O.BOX 459

DODOMA- TANZANIA.

Website: www.highscorevtc.ac.tz

E-mail: info@ highscorevtc.ac.tz

Uhindini Street nearby Tanga fresh

Mob: +255762009415
+255714142018

Full Time Courses: Nail Technology, Hairdressing, Beauty therapy, Cosmetology, Facial skincare, Massage, Make-up

CHUO KIMESAJILIWA KWA NAMBA REG/NACTVET/0783P

TAARIFA MUHIMU ZA MWANACHUO

  1. Taarifa za Mwanachuo (Student's personal details)
  2. Jina kamili (Full name): <%-Name%>

    Jinsia (gender): <%-Gender%>

    Tarehe ya Kuzaliwa (Date of Birth): <%-Dob%>

    Mahali alipozaliwa (place of birth) <%-PlaceBirth%>

    Dini(Religion): <%-Religion%> Simu (Phone): <%-Phone%>

    Mahali unapoishi (Residential area): <%-ResidentialArea%>

    Kiwango cha elimu ulichonacho kwasasa: <%-Education%>

    Anayekulipia ada: <%-ResidentialArea%>

    Tarehe ya kujiunga (date of joining): <%-CurrentTime%>

  3. Taarifa za Mzazi /Mlezi (Parent’s/guardian’s details)
  4. Jina kamili (Full name): <%-ParentName%>

    Mahali anapoishi Mzazi/Mlezi (Residential Area): <%-ParentResidential%>

    Namba za simu za Mzazi/Mlezi: <%-ParentPhone%>

  5. Taarifa za kiafya za mwanachuo (States of applicant’s health)
  6. Je? Una tatizo lolote la kiafya la kudumu. (Is there any persistence health matter?): <%-HealthIssue%>

    Kama lipo eleza (If ‘yes’, explain): <%-HealthDetails%>

  7. Kwa matumizi ya ofisi tu (for official use only)
  8. Mwanafunzi aliyeandikishwa hapo juu amepokelewa rasmi na chuo tarehe..............

    (The student nominated is officially admitted by the College)

    Jina la mkuu wa chuo (Name of Principal).............................

    Saini (Signature) ..................

    Mhuri wa chuo.

    Tarehe (Date) ....................

MCHANGANUO WA ADA NA MICHANGO MINGINE
WANAFUNZI WANAOSOMA KOZI YA USUSI NA UREMBO KWA MUDA WA MIEZI 4
SIFA ZA MUOMBAJI: AWE ANAJUA KUSOMA NA KUANDIKA
KUTWA AWAMU YA 1 AWAMU YA 2 HOSTELI AWAMU YA 1 AWAMU YA 2
800,000/= 500,000/= 300,000/= 1,000,000/= 600,000/= 400,000/=

Awamu ya kwanza italipwa mara baada ya kupokelewa na kusajiliwa.

Awamu ya pili italipwa mara baada ya mwezi mmoja (1) kuisha.

WANAFUNZI WANAOSOMA KOZI YA USUSI NA UREMBO KWA MUDA WA MWAKA 1
SIFA ZA MUOMBAJI: AWE AMEHITIMU KIDATO CHA NNE AU ZAIDI na awe na ufaulu wa D 3
vitu vya kuja navyo: cheti cha kuzaliwa (copy),cheti cha sekondari (copy) cheti kingine kama kipo
KUTWA AWAMU YA 1 AWAMU YA 2 HOSTELI AWAMU YA 1 AWAMU YA 2
1,200,000/= 800,000/= 400,000/= 1,600,000/= 1,000,000/= 600,000/=

Awamu ya kwanza italipwa mara baada ya kupokelewa na kusajiliwa.

Awamu ya pili italipwa mara baada ya miezi mitatu (3) kuisha.

mahitaji ya mwanafunzi:
  • - Sare ya chuo ni suruali nyeusi (official trouser) aje nayo na sare zingine zinapatikana chuoni ni bure
  • - Shuka mbili (2) za rangi ya pinki (kwa wanafunzi wa hostel tu) aje nazo.
  • - Ndoo moja ya lita kumi (10) kwa wanafunzi wa hostel tu aje nayo.

Malipo yote yalipwe kwa HIGH SCORE VOCATIONAL TRAINING CENTRE kupitia Bank CRDB au NMB Bank na stakabadhi ya malipo iwasilishwe chuoni.

+ JINA LA BENKI: CRDB

+ JINA LA AKAUNTI: HIGH SCORE VOCATIONAL TRAINING CENTRE

+ NAMBA YA AKAUNTI: 0152429854600

AU

+ JINA LA BENKI: NMB

+ JINA LA AKAUNTI: HIGH SCORE VOCATIONAL TRAINING CENTRE

+ NAMBA YA AKAUNTI: 50510050558

NB: HATUPOKEI PESA YOYOTE MKONONI, LIPA BENKI, NJOO NA STAKABADHI YA MALIPO.

AINA YA CHUO NA MAKAZI YA WANAFUNZI

HIGH SCORE VOCATIONAL TRAINING CENTRE ni chuo Bora cha USUSI NA UREMBO nchini Tanzania kilichosajiriwa na NACTVET kwa namba REG/NACTVET/0783P.

High score vtc ni chuo cha kutwa na Bweni kwa wasichana na wavulana, chuo hiki kinatoa kozi za ususi na urembo, Computer Application,kupika keki na kupamba kumbi, kwa kozi za muda mfupi (short course- 4 Months) na kozi za muda mrefu (Long course- 1 year ).

MUDA WA MAFUNZO: Saa 2:00 Asubuhi – 8: 00 Mchana
Program za mchana ni kuanzia Saa 9:00 Alasiri – 12:30 Jioni
SIKU ZA MASOMO: JUMATATU – IJUMAA
SHERIA NA TARATIBU ZA CHUO KWA WANAFUNZI WOTE.
UTANGULIZI:

Sheria na taratibu hizi za chuo zinalenga kumpatia Mwanafunzi Malezi bora; yaani kumwandaa vyema kitaaluma na kinidhamu ili kumwezesha kuwa na uwezo wa kujiajiri au kuajiriwa kupitia mafunzo aliyoyapata kutoka High score vocational training centre.

Chuo kinaheshimu uhuru wa kuabudu kama ilivyoainishwa katika katiba ya nchi, kwa hivyo kila Mwanafunzi ataruhusiwa kushiriki katika shughuli za dini yake.

SHERIA ZA CHUO:
  1. Kila mwanafunzi atawajibika kutii sheria na taratibu zote za chuo.Kila mwanafunzi atawajibika kutii sheria na taratibu zote za chuo.
  2. Ni marufuku mwanafunzi kutumia lugha zisizofaa, mfano matusi, maneno ya dharau na kebehi kwa kutamka ama kuandika dhidi ya uongozi wa chuo walimu,viongozi wa wanafunzi ,wahudumu wengine au wanafunzi wengine.
  3. Kila mwanafunzi anawajibika kuonesha heshima, adabu njema kwa watu wote wakubwa kwa wadogo ,viongozi na wenzake bila hofu au unafiki.
  4. Kila mwanafunzi aoneshe nidhamu katika kuvaa na mwenendo wake mzima.
  5. Kila mwanafunzi atalazimika kuwahi chuoni,darasani na kila mahali anapotakiwa kuwepo.
Atakayethibitika pasipo shaka kuvunja sheria tajwa hapo juu ataadhibiwa kwa taratibu za chuo kulingana na kosa lake.
MAKOSA YANAYOWEZA KUMFUKUZISHA CHUO MWANAFUNZI MARA MOJA.
  1. Akipatikana na kosa la unyang’anyi au wizi wa aina yoyote.
  2. Kuwa na tabia ya ukaidi, kiburi na uongo.
  3. Mzazi / Mlezi kushindwa kulipa ada na michango mingine.
  4. Kushiriki au kushawishi mgomo maeneo ya chuo.
  5. kujenga uhusiano wa kimapenzi na mtu wa jinsia yoyote ndani ya eneo la chuo.
  6. Utumiaji wa lugha za matusi au kejeli kwa kusema au kuandika au kuchora kuhusu uongozi wa chuo, wakufunzi, wanafunzi wenzako au wahudumu wengine wa chuo.
  7. Kupigana ndani ya chuo
  8. kushiriki katika ulevi wa aina yoyote kama vile pombe,sigara na bangi eneo la chuo.
  9. kutofanya Mitihani/ Majaribio yanayotolewa ndani na nje ya chuo bila sababu za msingi.
  10. Kukataa kutii sheria halali za chuo.
HATI YA UTHIBITISHO.
  1. Mwanafunzi
  2. Mimi <%-Name%> Nadhibitisha kuwa nimezisoma na kuzielewa kanuni na taratibu zote za chuo, naahidi kuwa nitazifuata wakati wote nitakapokuwepo HIGH SCORE vocational Training centre.

    Saini…………………………………… Tarehe……………………….

  3. Mzazi / Mlezi
  4. Mimi <%-ParentName%> Mzazi/ Mlezi wa mwanafunzi tajwa hapo juu. Nathibitisha kuwa nimesoma na kuzielewa kanuni na taratibu zote za chuo. Naahidi kuwa, nitashirikiana na chuo ili mwanangu/mke/mme/ndugu/jamaa azifuate na kuzitii kanuni na taratibu zote tajwa hapo juu.

    Saini……………………………Tarehe……………………………….

“Mkamate sana elimu, usimwache aende zake”

Mithali 4:13